YAFAHAMU MAMBO YA KUFANYA KAMA UNATAKA KUMTOA MWANAMKE BIKIRA BILA
MAUMIVU (KNOW HOW TO MAKE LOVE TO A VIRGIN WITHOUT GIVING HER TOO MUCH
PAIN) PART 2
2.TEMBELEA DUKA LA MADAWA MAPEMA (VISIT A DRUGSTORE IN ADVANCE)
Kununua baadhi ya vitu muhimu mapema kabla ya muda wa kutolewa bikira
yako itasaidia kufanya tendo zima la kutolewa bikira liwe rahisi kidogo,
vitu muhimu vya kununua ni kama vile,
*.Condoms,Ukiachilia mbali kuwa zitakusaidia usipate Mimba usiyoitarajia
(unwanted pregnancy), lakini pia itakusaidia usipate magonjwa
yanayosambaa kupitia njia ya kufanya Ngono bila kutumia kinga (Sexual
Transmitted Infections and Diseases). Hata kama unatumia vidonge vya
uzazi wa mpango(birth-control pills) na pia unamuamini sana Mpenzi wako,
kutumia Condom kutasaidia kufuta wasiwasi na uoga wote utakaoweza
kuhisi wakati unapeana Raha na Utamu kwa Mara ya Kwanza.
*.Lubricant(Mafuta ya kulainisha), Kitu muhimu zaidi kama ilivyo
Condom,ni kununua mafuta ya kulainisha yatakayosaidia kulainisha uke
wako kwa kuwa ni mara ya kwanza. Mafuta ya kulainisha(lubricant)
yatasaidia sana mashine ya Mwanaume kuingia kwa urahisi kwenye uke wako
bila kukupa maumivu. Ukienda kununua Mafuta ya
kulainisha(Lubricant),chagua ambayo yapo kama maji maji(water-based
lube) kwa sababu ndio the best( ukifika duka la madawa mwambie akupe
KY-Jelly,atakuuliza ya shiling ngapi coz yapo kwenye ujazo tofauti
tofauti).
3.ONGEA NA MPENZI WAKO KUHUSU KITU CHOCHOTE AMBACHO UNA WASIWASI NACHO
(DISCUSS YOUR CONCERNS WITH YOUR PARTNER)
Kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza na Mtu unamtrust,inasaidia sana
kupunguza na kuondoa kabisa wasiwasi na uoga wote ambao
wasichana/wanawake wengi huwa wanapata,na huo wasiwasi na uoga ndio
unachangia wapate maumivu zaidi wakati wanatolewa bikra(kitu muhimu ni
kwamba make sure usiwe na wasiwasi au uoga wowote na kama unafeel
wasiwasi au uoga then jaribu kuongea na Mpenzi wako kuhusu kitu chochote
ambacho kinakupa wasiwasi au uoga)
Na mpenzi wako anatakiwa awe anajali Hisia zako,awe teyari
kukusikiliza,na kukusikiliza peke ake haitoshi,inatakiwa akubembeleze na
akusaidie kuelewa kuhusu kitu chochote ambacho kinakupa uoga au
wasiwasi. Kama ukimuona anakuforce,wala sio mtu anaejali
sana,ameconcetrate kwenye kujipa raha mwenyewe badala ya kufanya
experience yako ya kupeana Raha na Utamu iwe Special na uikumbuke
milele,then inabidi ufikirie na uwaze mara mbili mbili kabla ya kumpa
Bikra yako.
4.FAHAMU HYMEN YAKO NDIO KITU GANI (KNOW WHAT YOUR HYMEN IS)
Hymen ni ngozi nyembamba(thin) ambayo imetanda(cover) kwenye muingilio
wa uke wako(vaginal opening),karibia wasichana na wanawake
wote huwa
wanazaliwa nayo. Mara nyingi huanza kupotea taratibu kwa sababu kama
vile,kucheza michezo,kutumia tampon, hedhi au hata normal movement za
kila siku.
NA kama unataka kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza,itakuwa vizuri
ufahamu mambo yafuatayo kuhusu hymen yako,
*.Itategemea na umri wako na maisha yako unaishi vipi, kama wewe ni
teenager kuna uwezekano mkubwa kuwa hymen yako ipo na haijapungua dat
much tofauti na Mwanamke wa kuanzia miaka 25 ambae bado ni Bikira,
lakini pia kitu kingine muhimu kama wewe sio mtu wa kujishughulisha na

wa uke wako(vaginal opening),karibia wasichana na wanawake wote huwa
wanazaliwa nayo. Mara nyingi huanza kupotea taratibu kwa sababu kama
vile,kucheza michezo,kutumia tampon, hedhi au hata normal movement za
kila siku.
NA kama unataka kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza,itakuwa vizuri
ufahamu mambo yafuatayo kuhusu hymen yako,
*.Itategemea na umri wako na maisha yako unaishi vipi, kama wewe ni
teenager kuna uwezekano mkubwa kuwa hymen yako ipo na haijapungua dat
much tofauti na Mwanamke wa kuanzia miaka 25 ambae bado ni Bikira,
lakini pia kitu kingine muhimu kama wewe sio mtu wa kujishughulisha na
michezo,haufanyi mazoezi etc, basi pia kuna uwezekano mkubwa hymen yako
ikawa ipo kuliko yule ambae anajishughulisha na michezo au
mazoezi.(unaweza kufahamu zaidi kwa kuweka kioo mbele ya uke wako,kisha
tumia tochi kuona ndani ya uke wako kama kuna Utando wowote ule.)
*.Hymen ndio inasababisha baadhi ya wasichana au wanawake damu
ziwatoke(bleed) wakiwa wanatolewa bikira zao. Lakini hiyo Damu inatakiwa
iwe ndogo sana isiwe nyingi kama ile inayokutoka kwenye siku
zako(menstrual cycle).(kama ilikutoka au itakutoka nyingi basi ujue
Mpenzi wako alitumia force kubwa isiyokuwa na ulazima/umuhimu sana) Kwa
sababu wapo baadhi ya wasichana au wanawake ambao wakitolewa bikira
hakuna hata damu inayotoka kabisa.
*.Kuvunja Hymen yako sio lazima ilete maumivu kihivyo,by the way kama
kuna maumivu ya aina yeyote utasikia wakati unapeana Raha na Utamu kwa
mara ya kwanza basi ujue yamesababishwa(being caused) na kwamba hujazoea
kuingiza kitu kikubwa kama mashine ya Mwanaume kwenye uke wako.Na
unakaza(clench) misuli(muscles) ya uke wako kwa sababu ya wasiwasi na
uoga wako mwenyewe. Lakini wala sio kisa hymen imevunjwa. Habari nzuri
ni kwamba ingawa huwezi kucontrol jinsi hymen yako
itakavyovunjika,lakini unaweza kucontrol kiasi gani utakuwa Relaxed na
Comfortable,na kadri unavyokuwa relaxed and comfortable,ndio uwezekano
wa kutopata maumivu kabisa unavyokuwa mkubwa.(The more Control you have
on How much Comfortable and Relaxed You will Be when Makin Love For The
First Time,The Less Pain You Are goin To Experience

Jumanne, 31 Mei 2016
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni